Gavana wa kaunti ya Kwale, Fatuma Achani ametangaza kujengwa kwa jengo jipya la ofisi za utawala wa kaunti hiyo katika wadi ya Mackinnon gatuzi dogo la...
Mgombea wa kiti cha ugavana wa kaunti ya Kilifi Aisha Jumwa amekihama rasmi chama cha UDA, akisema atatangaza baadaye mwelekeo atakaochukua wa kisiasa. Jumwa alitoa tangazo...
Mahakama ya Kilifi imeagiza kuzuiliwa kwa siku 14 washukiwa 7 wanaotuhmiwa kuhusika katika kifo cha mwanamke mmoja aliyekuwa na umri wa miaka 65, ambaye aliuwawa kwa...
Serikali imesitisha shughuli zote za uchimbaji madini kwa kampuni ya Tata Chemials Magadi limited kwa kukiuka sheria za uchimbaji madini. Kwenye taarifa iliyotolewa na Waziri wa...
Mbunge wa Nyali kaunti ya Mombasa Mohamed Ali amepuzilia mbali madai ya kuhusishwa na siasa za ukabila kwenye kaunti hiyo, akisema anafanya siasa zake bila kujali...