Takriban maafisa wanane wa polisi wamejeruhiwa kwenye shambulizi la kigaidi ambapo gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga kilipuzi katika barabara ya Banabs-Yumbis kaunti ya Garissa. Duru kutoka idara...
Mwenyekiti wa kamati ya Leba katika bunge la kitaifa Ken Chonga amesema baadhi ya wakenya ambao wanasafiri katika mataifa ya miliki za kiarabu kusaka ajira wamekosa...
Serikali ya kaunti ya Kilifi imesema visa vya dhulma za kijinsia katika kaunti hiyo vimepungua kwa kiwango kikubwa. Kulingana na Naibu Gavana wa kaunti hiyo Flora...
Wakaazi wa Diani eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale wanaitaka idara ya upelelezi wa jinai nchini DCI kufanya upekuzi wa maduka ya kuuza dawa. Wakaazi...
Kesi inayomhusu Mhubiri tata Paul Mackenzie na wenzake 92 imesikizwa katika Mahakama ya Mombasa, ambapo shahidi wa 28 na 29 wameeleza ushahidi wao Mahakamani. Shahidi wa...
Rais William Ruto amefanya mabadiliko kadhaa katika baraza lake la mawaziri na kuwateua watu wengine kushikilia nyadhfa hizo huku aliyekuwa Waziri wa utumishi wa umma nchini...
Mkufunzi wa Timu ya taifa Harambee stars Benni McCarthy amesema kwamba walikutana na mpinzani Bora Gabon katika mechi ya kufuzu kombe la Dunia ugani Nyayo siku...