Serikali ya Kenya na Rwanda zimesaini mkataba wa makubaliano (MoU) unaolenga kuanza rasmi utekelezaji wa ofisi ya uhusiano ya halmashauri ya bandari nchini (KPA) jijini Kigali,...
Mkurugenzi mkuu wa halmashauri ya bandari nchini, nahodha William Ruto, ameibua matumaini mapya kuhusu uboreshaji wa Bandari ya Mombasa baada ya kutangaza hatua mbalimbali za kisasa...
Wamiliki hoteli zilizofungwa kaunti ya Kilifi wameshinikizwa kuhakikisha wanaziuza kwa wawekezaji wengine iwapo wameshindwa kurejesha huduma katika hoteli hizo. Akizungumza na vyombo vya habari gavana wa kaunti...
Muungano wa mawakala wa usafiri wa baharini nchini (KSAA), umeibua wasiwasi kuhusu ongezeko la gharama za uendeshaji wa shughuli za usafiri wa baharini katika bandari ya...
Wakulima wa mapapai kutoka eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi wameitaka serikali ya kaunti kwa ushirikiano na serikali kuu kujenga viwanda ili kuwasaidia kuuza matunda...
Bei za baadhi ya bidhaa humu nchini zinatarajiwa kupanda hata zaidi msimu huu ikilinganishwa na hapo awali. Wafanyibiashara wanaoagiza bidhaa kutoka nchi jirani Tanzania mjini Kilifi...
Serikali imesema imechukua hatua za dharura ili kuongeza ufanisi katika bandari ya Mombasa, kufuatia ongezeko kubwa la mizigo linalosababisha msongamano mkubwa wa meli bandarini humo. Ongezeko...