Mchezaji kikosi cha Morans David Nyangige ni miongoni mwa wachezaji walioshtua wengi baada ya kujumuishwa katika kikosi cha Shujaa kilichotangazwa Jumatatu na kocha Kevin ‘Bling’ Wambua,...
Hali ya wasiwasi imetanda katika kambi ya timu ya taifa ya Nigeria, “Super Eagles,” baada ya kuripotiwa kuwa wachezaji wamegoma kufanya mazoezi kutokana na madai ya...
Toleo la tatu la Mashindano ya Esse Akida lilifikia tamati Jumapili tarehe 28 Desemba 2025, huku Morning Stars na Kilifi Elite wakitawazwa mabingwa. Mashindano hayo yaliyoandaliwa...
MARIAKANI FC MABINGWA Timu ya soka ya vijana ya Mariakani fc ni Moja wapo ya timu zinazo kua Kwa kasi sana kutoka wadi ya Kaloleni, Kaunti...
MATANO MANE FC Timu ya soka ya vijana ya Matano Mane ni Moja wapo ya timu zinazo kua Kwa kasi sana kutoka wadi ya Sokoke, Kaunti...
Rais wa chama cha Karate nchini JKA wakili George ameweza kutambua ubora ulioonyeshwa na timu kutoka Kilifi zinazoshiriki kwenye Toleo la Pili la Mashindano ya Afrika...
Rais Donald Trump bado anaonekana kutokuwa na uhakika kwamba aite mchezo huo soccer au football. Lakini lengo lake huwa sahihi zaidi anapotumia mchezo unaopendwa zaidi duniani...
Kocha wa Harambee Stars, Twalir Muhiddin, ametabiri pambano kali kati ya mahasimu wakubwa, Gor Mahia na AFC Leopards, watakaovaana katika dimba la Nyayo Stadium Jumapili hii....
Ikiwa imeungwa mkono na umati mkubwa wa mashabiki waliofurika Kasarani Indoor Arena, Nairobi City Thunder iliibwaga Johannesburg Giants ya Afrika Kusini kwa ushindi wa 94–84, na...
Timu ya Kenya imemaliza kampeni yake kwenye Mashindano ya Deaflympics ya Majira ya Kiangazi ya Tokyo 2025 kwa fahari kubwa, baada ya kurejea nyumbani na jumla...