Shuguli za masomo zimeendelea kutatizika kwa siku ya saba sasa katika vyuo vikuu vya umma kote nchini kutokana na mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu uliaonza...
Mbunge wa Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi Owen Baya amesema kuwa uskwota umekithiri mno katika ukanda wa Pwani. Katika mazungumzo ya kipekee na Meza yetu ya...
Katibu mkuu wa Chama cha UDA Hassan Omar Sarai, imemkosoa Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen kutokana na kuchapisha katika gazeti rasmi la serikali kundi...
Wavuvi kutoka maeneo ya uvuvi ya mjini Kilifi waliamkia maandamano hadi nje ya lango la makazi ya Gavana Gideon Mung’aro kwa lengo la kumuona Gavana na...
Serikali ya kaunti ya Kilifi yaendeleza mpango wa kusambaza tani 62.5 za unga wa uji ulioimarishwa kwa virutubisho kwa vituo 813 vya umma vya ECDE, hatua...
Mamlaka ya kitaifa ya kusimamia barabara kuu nchini KeNHA imesema ujenzi wa barabara kuu ya Mombasa-Kilifi inatarajiwa kukamilika kufikia mwezi Disemba mwaka ujao. Kaimu Mkurugenzi wa...
Mbunge wa Kilifi kaskazini Owen Baya amewataka viongozi wa kaunti ya Kilifi kujukumika katika utendakazi wao na kuangazia changamoto wanazopitia wakaazi. Akizungumza katika kipindi cha Coco...
Rais William Ruto amewataka viongozi wa Afrika kuungana katika kupigia debe mageuzi ya baraza la usalama la umoja wa mataifa. Rais Ruto ambaye yuko mjini New...
Rais William Ruto amewasili mjini New York Marekani, leo Septemba 21 2025, kuhudhuriwa kikao cha 80 cha baraza kuu la Umoja wa Mataifa. Akiwa nchini Marekani,...
Siasa za Kampeni kuelekea uchaguzi Mdogo wa eneo Bunge la Magarini Kaunti ya Kilifi zimeanza kushika kasi, huku Vyama vya kisiasa ambavyo vinaegemea zaidi siasa za...