Serikali imeweka wazi hatua ilizopiga katika kipindi cha miaka mitatu tangu Rais William Ruto achukue hatumu ya uongozi nchini. Katika taarifa iliyotolewa na taifa kupitia vyombo...
Mwakilishi wa Kike kaunti ya Mombasa Zamzam Mohammed, amewataka wakaazi zaidi ya 400 waliopatiwa hatimiliki za ardhi katika eneo bunge la Jomvu kuzitumia vyema hati miliki...
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Pwani mjini Kilifi ameaga dunia wakati akiogelea katika ufuo wa bahari hindi wa Vidazini katika eneo bunge la Kilifi Kazkazini kaunti...
Mkurugenzi wa Huduma Centre Ben Kai Chilumo anaomboleza kifo cha babake Kuhani Lazaro Chilumo Kai. Mzee Chilumo Kai alifariki Septemba 10, 2025 katika Hospitali ya Pandya...
Maafisa wa polisi Malindi kaunti ya Kilifi wanasema wamewanasa washukiwa 42 wa magenge ya uhalifu katika msako kwenye mitaa ya Karima, Soweto, Milano na Mgandini. Polisi...
Wadau katika sekta ya mazingira kaunti ya Lamu wanasema mabadiliko ya hali ya anga yanayoshuhudiwa sawa na ujenzi wa bandari ya Lamu kumechangia mapato ya samaki...
Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua ametangaza nia ya kuwania wadhfa wa urais mwaka 2027 akilenga kumg’oa rais William Ruto mamlakani. Gachagua amekuwa akifanya ziara...
Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Msyoka ameitaka serikali ya rais William Ruto kutoa ufafanuzi kuhusu uwepo wa maafisa kutoka Jubaland hapa nchini. Kalonzo alisema hatua...
Mahakama Kuu ya Malindi imewaachilia washukiwa watatu wanaohusishwa na kesi ya mauaji ya halaki ya watu katika kijiji cha Kwa Binzaro eneo bunge la Magarini kaunti...
Mwakilishi wadi ya Bomani mjini Taveta kaunti ya Taita Taveta Chrispus Tondoo ameliomba bunge la kaunti hiyo msamaha kutokana na matamshi aliyoyatoa hapo awali akikashifu bunge...