Utafiti uliyofanmywa na kampuni ya utafiti ya Infotrak umeonyesha wazi kwamba asilimia 57 ya wakenya wanasema kwamba taifa linaelekea mahali pabaya, asilimia 17 wakiridhishwa na mwelekeo wa...
Naibu Chifu wa eneo la Sabaki eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi Rachael Malingi amewahimiza kina mama wajawazito kuhakikisha wanafika hospitalini ili kujifungua salama. Akizungumza...
Rais William Samoei Ruto amesema usajili wa makurutu watakaojiunga na huduma ya vijana kwa taifa NYS utaongezeka kutoka vijana 18,000 hadi 100,000 katika miaka mitatu ijayo....
Siku kumi baada ya mwanablogu Ndiang’ui Kinyagia kutoweka, kesi ya kumtaka inspecta jenerali wa polisi Doglas Kanja kueleza alipo mwanablogu huyo iliendelea kusikilizwa katika mahakama ya...
MOMBASA – Serikali ya Kaunti ya Mombasa imetakiwa kuchukua hatua za haraka kuondoa taka zilizorundikana katika soko la Marikiti, hatua inayolenga kupunguza hatari ya kiafya na...
Kikao cha kutafuta mwafaka kuhusu mzozo uliyoshuhudiwa kati ya wakaazi wa eneo la Jaribuni kaunti ya Kilifi na wawekezaji wa timbo za eneo hilo uliyosababisha kufungwa...
Serikali imejitokeza na kupinga taarifa zinazoendelea katika mitandao ya kijamii kwamba inalenga kuwasilisha mswada wa fedha wa mwaka wa 2025 bungeni ambao unalenga kuongeza ushuru kwa...