Tume huru ya uchaguzi nchini Tanzania (INEC) imekiandikia chama cha upinzani cha ACT Wazalendo kuwa hakitaweza kumteua mgombea wa urais kupitia chama hicho, Luhaga Mpina. Katika...
Serikali ya kaunti ya Mombasa imethibitisha kupokea jumla ya chanjo elfu 5 za homa ya Mpox kutoka kwa wizara ya afya nchini. Chanjo hizo zinalenga kutolewa...
Wakaazi na wavuvi wanaotumia ufuo wa bahari hindi katika eneo la Diani kaunti ya Kwale wameonywa kuwa waangalifu zaidi dhidi ya upepo mkali unaoshuhudiwa baharini. Kulingana...
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Mung’aro amesema serikali yake iko mbioni kuhakikisha miradi yote ya maendeleo katika kaunti inakamilika kufikia mwezi juni mwaka ujao wa...
Kesi inayosubiriwa kwa hamu ya kumuondoa madarakani Gavana wa Kericho Erick Mutai, imeanza rasmi katika bunge la Seneti. Kulingana na ratiba rasmi iliyotolewa na Karani wa...
Seneta wa kaunti ya Kilifi, Stewart Madzayo amegadhabishwa na kile alichokiita utepetevu katika serikali kuu kufuatia malimbikizi ya miili inayofukuliwa Shakahola inayohifadhiwa kwenye makafani ya hospitali...
Wahudumu wa sekta ya uchukuzi wa Tuktuk katika wadi ya Mariakani eneo la bunge la Kaloleni kaunti ya Kilifi wanaendelea kulalamikia gharama ya juu ya bei...
Kongamano la siku tatu kuhusu wiki ya upishi kutumia kawi safi limezinduliwa rasmi mjini Kilifi katika kaunti ya Kilifi huku serikali kuu ikimesema inaendelea kujumuisha kila...
Kenya inaadhimisha miaka 15 ya Katiba mpya tangu kubuniwa rasmi mwaka wa 2010 chini ya utawala wa Hayati Mwai Kibaki kufuatia shinikizo la miaka mingi ya...
Zaidi ya Wawakilishi wadi 70 wa kaunti ya Nairobi walitia saini hoja ya kutokuwa na Imani na Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, ambayo inalenga...