Mkufunzi wa kilabu ya Arsenal Mikel Arteta angali na imani kwamba vijana wake watanyuka Psg ugenini na kufuzu kwenye fainali ya kilabu bingwa ulaya wiki ijayo...
Waziri wa usalama ndani Kipchumba Murkomen ameamrisha machifu ambao wanahofia maisha yao kutoka kaunti tano ambazo zinashuhudia msukosuko wa kiusalama kupewa bunduki kujihami. Waziri Murkomen amesema...
Kamati ya utekelezaji wa sheria katika bunge la Seneti imefanya kikao na Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Mung’aro kutathmini jinsi serikali ya kaunti hiyo inavyoendana...
Kadinali Giovanni Angela Bacciu ametangaza kujiondoa katika kikao cha siri cha kumchagua Papa mpya kilichopangwa na Ofisi ya Vatican kuanza rasmi mwezi Mei 7. Katika taarifa...
Aliyekuwa mbunge wa Kisauni Ali Mbogo ameikosoa serikali ya kaunti ya Mombasa kwa kushindwa kutatua suala tata la uskwota linalowakumba wakaazi wengi wa kaunti hiyo. Akizungumza...
Nahodha wa Kikosi cha Soka vijana chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20 Rising Stars Amos Wanjala amesema kwamba lengo lao kuu ni kufuzu kombe la dunia...
Ofisi ya Vatican imetangaza kwamba Baraza la Makadinali wa Kanisa Katoliki linalofahamika kama ”Conclave” litaanza kikao chake cha siri cha kumchagua Papa mpya kuanzia tarehe 7...
Sasa Ni rasmi kwamba kilabu ya Livrpool ndiyo mabingwa wa Ligi kuu Uingereza baada ya kuvuna ushindi mnono wa magoli 5-1 dhidi ya Tottenham Hotspurs Ugani...
Serikali inalenga kuajiri zaidi ya vijana laki moja katika Shirika la huduma kwa vijana wa taifa NYS. Waziri wa utumishi wa umma nchini Geoffrey Ruku amesema...
Mdhibiti wa bajeti nchin Margaret Nyakang’o amependekeza kuongezwa kwa kiwango cha bajeti ya ofisi yake kutoka shilingi milioni 7.2 hadi shilingi bilioni 1.6 ili kufanikisha majukumu...