Ripoti ya mkaguzi wa bajeti nchini imebaini kwamba kaunti ya Kilifi haijatumia mgao wa bajeti ya shilingi milioni 220 uliotengewa mpango wa kushughulikia athari za mabadiliko...
Kilabu ya Leicester City imetangaza kuachana na kocha wake Ruud Van Nistelrooy mchezaji wa zamani wa manchester united. Kocha huyo aliteuliwa mwezi Disemba kumrithi kocha Steve...
Kilabu ya Wanabenki Kcb inayoshiriki ligi kuu taifa humu nchini imetangaza kumteua aliyekua kocha wa Tusker FC,Sofapaka na AFC Leopards Robert Matano marufu The Lion kunoa...
Mkufunzi wa Timu ya Taifa Brazil Carlo Ancelloti amemwambia mshambulizi wa kilabu hiyo Neymar ajiendae kwa kombe la dunia mwaka 2026 Kocha huyo aliyasema hayo muda...
Mastaa wakubwa duniani wakiwemo Kim Kardashian, Bill Gates, na Oprah Winfrey wamewasili Venice, Italia, kwa ajili ya kuhudhuria harusi ya kifahari ya mwanzilishi wa Amazon, Jeff...
Madereva nguli ulimwneguni Sebastian Ogier wa Ufaransa na Ott Tanak wa Estonia walimaliza kwa muda sawa katika raundi ya kwanza ya mbio za Magari za Acropolis...
Wakulima wa viazi tamu eneo la rabai kaunti ya kilifi wanakadiria hasara baada ya mimea yao hurabiwa na wadudu. Kulingana na wakulima hao dawa za kuuwa...
Muungano wa wahudumu wa hoteli na wapishi nchini (KAHC) umesema huenda Kenya ikakosa kufikia lengo la watalii millioni 5 ifikapo mwaka 2027 iwapo maandamano yanayoshughudiwa mara...
Kilabu ya Manchester City imejiunga na mibabe katika raundi ya 16 bora kombe la Dunia baina ya Vilabu nchini Marekani. Hii ni baada ya vijana wa...
Jumla ya vijana 600 kutoka eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi watanufaika na mpango wa mafunzo ya taaluma za ujuzi, maarufu SKILLS MTAANI unaofadhiliwa na...