Mamlaka ya kitaifa ya kusimamia barabara kuu nchini KeNHA imesema ujenzi wa barabara kuu ya Mombasa-Kilifi inatarajiwa kukamilika kufikia mwezi Disemba mwaka ujao. Kaimu Mkurugenzi wa...
Mbunge wa Kilifi kaskazini Owen Baya amewataka viongozi wa kaunti ya Kilifi kujukumika katika utendakazi wao na kuangazia changamoto wanazopitia wakaazi. Akizungumza katika kipindi cha Coco...
Rais William Ruto amewataka viongozi wa Afrika kuungana katika kupigia debe mageuzi ya baraza la usalama la umoja wa mataifa. Rais Ruto ambaye yuko mjini New...
Goli la kusawazisha la Gabriel Martinelli dakika ya 93 liliokoa matumaini ya Arsenal ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kuepuka kichapo dhidi...
Kenya imemaliza ya pili kwenye msimamo wa medali huku makala ya 20 ya mashindano ya Riadha Duniani yakikamilika Jumapili mjini Tokyo,Japan. Kenya iliyokuwa ikiwakilishwa na wanariadha...
Rais William Ruto amewasili mjini New York Marekani, leo Septemba 21 2025, kuhudhuriwa kikao cha 80 cha baraza kuu la Umoja wa Mataifa. Akiwa nchini Marekani,...
Siasa za Kampeni kuelekea uchaguzi Mdogo wa eneo Bunge la Magarini Kaunti ya Kilifi zimeanza kushika kasi, huku Vyama vya kisiasa ambavyo vinaegemea zaidi siasa za...
Mkufunzi Ruben Amorim ameonya kilabu yake ya Manchester United kuacha kujiletea ugumu usio wa lazima baada ya timu hiyo kumpunguzia presha kwa kupata ushindi wa 2-1...
Kenya itawania kutetea taji ya wanawake ya mita 800 katika siku ya mwisho ya makala ya 20 ya mashindano ya Riadha Duniani mjini Tokyo, Japan, leo....
Mkenya Beatrice Chebet aliongoza Kenya kunyakua nishani za dahahbu na fedha katika fainali ya mita 5000 katika siku ya nane ya mashindano ya Riadha Duniani Jumamosi...