Mratibu wa Kongamano la kimataifa linaloangazia masuala ya mabadiliko ya hali ya anga, INTER- GOVERNMEMTAL PANEL ON CLIMATE CHANGE, Patricia Nying’uro amesema jamii inasalia kuwa kiungo...
Mkufunzi wa Timu ya Taifa ya Soka Harambee Stars Benni McCarthy amesema kwamba walienda Tanzania kushiriki Kombe la CECAFA wakiwa na azma na ari kubwa ya...
Wakulima wanaoendeleza kilimo biashara kutoka rabai kaunti ya kilifi wamegeukia kilimo cha viazi vitamu. Kulingana na wakulima hao msimu huu wa mvua chache viazi vitamu vinafanya...
Serikali za kaunti za pwani zimetakiwa kuwawezesha vijana katika masuala ya ubaharia ili kujiendeleza kiuchumi. Aliyekuwa mbunge wa Kisauni, Ali Mbogo, amesema kuwa ukosefu wa mikakati...
Mabingwa watetezi wa michuano ya kombe la Mataifa ya Ulaya kwa Wanawake #WEURO Uingereza (England) wametinga fainali ya michuano hiyo kwa mwaka 2025, #WEURO2025 kufuatia ushindi...
Bi Rute Cardoso Mke wa aliyekuwa mshambuliaji wa Liverpool Marehemu Diogo Jotta amepost ujumbe wa kuadhimisha mwezi mmoja wa ndoa yao ikiwa ni siku chache tangu...
Kaunti ya Mombasa imetajwa miongoni mwa kaunti zinazoongoza kwa maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu eneo la pwani. Everlyn Kibuchi mkurugenzi wa mradi wa kuhamasisha kuhusu...
Klabu ya Arsenal imefikia makubaliano na Sporting Lisbon juu ya kumsajili mshambuliaji Victor Gyokeres kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 63.5 na nyongeza ya milioni...
Hamasa za mashabiki wa Taifa Stars kuelekea michuano ya CHAN 2024 itakayoanza Agosti 2,2025 rasmi zimezinduliwa leo Julai 22,2025 viwanja vya Mbagala Zakhem. Taifa la Tanzania...
Kamanda wa Polisi kaunti ya Kilifi Josephat Biwott amepongeza juhudi za wakaazi wa kaunti hiyo kwa kuwa na ushirikiano mwema na asasi za usalama. Biwott amesema...