Sports
Ratiba Ya Msimu Mpya EPL Imetolewa
Ratiba ya msimu mpya 2025/26 wa ligi kuu uingereza imetolewa rasmi na chama cha soka uingereza FA
Mabingwa watetezi Liverpool vs Bounemouth Ijuma Agosti 15
Jumamosi Agosti 16
Aston Villa vs Newcastle United 3;30pm- Villa Park
Brighton vs Fulham 6pm – American Express Stadium
Nottingham Forest vs Brenford 6pm- City Ground
Sunderland vs West ham 6pm -Stadium of Light
Tottenham HotSpurs vs Burnley 6pm – Tottenham Stadium
Wolves vs Mancity 7;30pm- Mollieneux
Jumapili;17th Agosti
Chelsea vs Crystal Palace 4pm- Stamford Bridge
Manchester United vs Arsenal 6;30pm- Old Trafford
Jumatatu:18th Agosti
Leeds united vs Everton 10.00pm – Elland Road
Sports
Klabu ya Arsenal guu moja kuingia hatua ya Nusu fainali Klabu bingwa baada ya ushindi dhidi ya Sporting
Sports
Wakili George Kithi akabidhiwa rasmi Cheti cha uenyekiti wa bodi ya Michezo marufu kama Sports Arts and Social Development Fund (SASDF)
Waziri wa Wizara ya Masuala ya Vijana, Uchumi bunifu na Michezo, Salim Mvurya, ameshudia hafla rasmi ya kukabidhiwa uenyekiti wa Bodi ya Sports, Arts and Social Development Fund (SASDF) kutoka kwa Luteni Jenerali Mstaafu Jackson Tuwei kwenda kwa Mheshimiwa wakili George Kithi. Hafla hiyo ilifanyika, jijini Nairobi hii leo.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Waziri Mvurya alimpongeza Luteni Jenerali (Mstaafu) Tuwei kwa uongozi wake wa mfano na kujitolea kwake katika kipindi chake cha utumishi. Alibainisha kuwa chini ya uongozi wake, bodi hio iliimarika na kuwa taasisi imara na yenye mwitikio zaidi katika kusaidia na kuendeleza vipaji vya Wakenya.
Aidha, Waziri alieleza imani yake kwa uongozi wa Mheshimiwa wakili George Kithi, akimhakikishia ushirikiano na msaada kamili kutoka kwa Wizara katika kutekeleza majukumu ya Bodi kwa kipindi chake cha miaka mitatu.
SASDF inaendelea kuwa nguzo muhimu katika kulea na kukuza vipaji vya Kenya, pamoja na kuimarisha hadhi ya nchi kimataifa kupitia michezo na uchumi wa ubunifu. Kupitia uwezeshaji wa wanamichezo, wasanii na wadau wa utamaduni, mfuko huo unachangia pakubwa katika ukuaji wa sekta za michezo na ubunifu nchini.

