Muungano wa madaktari nchini KMPDU tawi la pwani umeonya madaktari wazembe ukisema hautamtetea daktari yeyote atakayepatikana anakwepa majukumu yake. Hii ni baada ya taarifa ya kamati...
Rais William Ruto amesema atawasilisha bungeni pendekezo la kupunguzwa kwa ushuru wa pikipiki ili kuwawezesha vijana kote nchini kuwa na uwezo wa kumiliki pikipiki na kujiimarisha...
Waziri wa Masuala ya kigeni Musalia Mudavadi amepuuzilia mbali madai kuwa uhusiano kati ya Kenya na Marekani unayumba. Hii ni kufuatia mswada uliowasilishwa katika bunge la...
Baadhi ya vijana kaunti ya Kilifi waliohudhuria kongamano la kuadhimisha wiki ya vijana lililofanyika katika chuo cha Pwani Jumatano wameitaka serikali kuendeleza mikakati ya kuwainua vijana...
Katibu katika Wizara ya vijana na uchumi bunifu nchini Fikirini Jacobs amesema juma la vijana limebuniwa ili kutoa nafasi zaidi kwa vijana wengi kuwasilisha matakwa yao...
Jumla ya walimu 294 wa shule za chekechea kaunti ya Taita Taveta wamepandishwa vyeo kulingana na kiwango chao cha masomo yao. Akiwahutubia walimu hao gavana wa...
Mkutano wa ukusanyaji maoni ya umma kaunti ya Kwale kuhusiana na pendekezo la kuongezwa kwa ada za kuingia katika mbuga za wanyamapori nchini uliibua hisia mseto...
Takriban maafisa wanane wa polisi wamejeruhiwa kwenye shambulizi la kigaidi ambapo gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga kilipuzi katika barabara ya Banabs-Yumbis kaunti ya Garissa. Duru kutoka idara...
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC Erastus Ethekon ametangaza mipango ya kushauriana na mwanasheria mkuu wa serikali ya Kenya ili kufafanua kipi kinajumuisha...
Katibu katika idara ya vijana na uchumi bunifu nchini Fikirini Jacobs amesema serikali imeweka mikakati kabambe ya kubuni ajira kwa vijana kupitia miradi ya kibiashara. Akizungumza...