Maafisa wa Polisi kaunti ya Mombasa wanachunguza tukio la wizi dhidi ya mtalii wa kigeni lililotokea katika eneo la Nyali Kulingana na ripoti ya maafisa wa...
Idara ya usalama eneo la Likoni kaunti ya Mombasa imesema inachunguza kifo cha mwanamke mmoja aliyefariki katika mtaa wa senti kumi. Mkuu wa polisi wa Likoni Joseph...
Familia ya kijana wa umri wa miaka 22 aliyefariki baada ya kupigwa risasi na polisi imeitaka mamlaka ya kutathmini utendakazi wa maafisa wa polisi IPOA kufanya...
Kesi ya usafirishaji wa dawa za kulevya zenye thamani ya shilingi bilioni 8.2 iliendelea kusikilizwa katika mahakama ya Shanzu, shahidi wa pili ambaye ni afisa wa...
Gavana wa kaunti ya Bungoma Kenneth Lusaka, amefutilia mbali baraza lake la mawaziri akilenga kulifanyia mabadiliko ili kuimarisha utendakazi wa serikali ya kaunti hiyo. Katika taarifa...
Seneta wa Vihiga Godfrey Ososti anaendelea kupokea matibabu katika Hospitali ya Karen jijini Nairobi baada ya kusafirishwa kwa ndege jana Jumatano April 8 2026 kutoka mjini...
Serikali imepinga ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu tuhuma za ubakaji dhidi ya maafisa wake wanaohudumu nchini Haiti chini ya Ujumbe wa kimataifa wa usaidizi wa...
Baadhi ya wajumbe wa bunge la Seneti chini ya mpango wa Seneti mashinani wamefanya ziara katika majengo ya bunge la kaunti ya Kilifi na kupokelewa na...
Huenda watumizi wa magari ya uchukuzi wa umma, wahudumu wa tuktuk na bodaboda wakalazimika kuongeza nauli kwa abiria kutokana na changamoto za ukosefu wa mafuta nchini...
Mshambuliaji Kai Havertz aliifungia Arsenal F.C. bao la ushindi katika dakika za mwisho kabisa, na kuisaidia timu hiyo kuibuka na ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya...