Ligi Kuu ya Kaunti ya Kilifi chini ya Shirikisho la Soka nchini (FKF) inatarajiwa kuanza rasmi tarehe 21 Machi mwaka huu. Uamuzi huo ulifikiwa katika mkutano...
Ni rasmi golikipa wa klabu ya Beach bay ya Magharini Khaki Nickson amejiunga na klabu ya Sango sportiff ya Tana River inayoshiriki ligi ya divisheni ya...
Kamati ya utendaji ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam, Tanzania, Ijumaa ya leo Februari 13, 2026. Inaelezwa kuwa tayari Tanzania...
Ulimwengu unaadhimisha Siku ya Redio Duniani huku Wanahabari eneo la Pwani wakiungana na mataifa mengine ulimwenguni kusherehekea siku hiyo. Siku hii muhimu ya kutambua nafasi muhimu...
Wanahabari katika eneo la Pwani hii leo wanatarajiwa kushiriki michezo ya kirafiki ya soka kama sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. Michuano hiyo itaandaliwa...
Serikali imetenga jumla ya shilingi bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya ardhi na shilingi milioni 838 kwa kuhamisha wafanyabiashara katika eneo la Mtwapa ili kufanikisha...
Serikali inasema itawachukulia hatua walimu ambao walikosa kuweka wazi idadi ya wanafunzi shuleni mwao, ikibaini kwamba shule za humu nchini zina wanafunzi hewa laki tisa. Wizara...
Mahakama Kuu imesimamisha kwa muda agizo la kuondolewa afisini kwa Katibu Mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna. Katika uamuzi uliotolewa Alhamis 12 2026, Mahakama ilitoa...
Bingwa wa toleo la 35 la mbio za Discovery Cross Country zilizofanyika Eldoret, kaunti ya Uasin Gishu, Maryam Lufti Njoki, anatarajiwa kurejea katika mashindano ya Sirikwa...
Serikali ya kitaifa imepanga kupanua mradi wa kilimo cha chakula wa Galana Kulalu kama sehemu ya juhudi za kuimarisha usalama wa chakula nchini ili kusaidia zaidi...