Waziri wa afya, Aden Duale, amesema serikali imeweka mikakati dhabiti kuhakikisha kila mkenya anapata huduma bora za afya kupitia mpango wa bima ya afya kwa wote...
Serikali ya kaunti ya Kilifi kupitia idara ya kilimo imeanzisha mpango wa kusambaza wa Ng’ombe wa maziwa kwa makundi ya wakulima wa mifugo kaunti hiyo. Akizungumza...
Huduma ya kitaifa ya polisi NPS imewasimamisha kazi maafisa wawili wa polisi wanaohusishwa na kisa cha kupigwa risasi raia ambaye hakuwa na silaha wakati maandamano ya...
Naibu Inspekta jenerali wa Polisi Eluid Lagat, anatarajiwa kufika mbele ya Mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa maafisa wa polisi nchini IPOA kuhojiwa siku ya Alhamis Juni,...
Familia ya Boniface Mwangi Kariuki, mchuuzi mwenye umri wa miaka 22 aliyepigwa risasi kichwani na afisa wa polisi wa kupambana na ghasia katika barabara ya Moi...
Gwiji wa mchezo wa tae-kwon-do mwanadada Caroline Wairimu Kihurani ambaye aliaga dunia wiki jana jijini Nairobi anazidi kusherehekewa na wengi kutokana na mchango wake mkubwa katika...
Naibu kocha wa Shujaa Louis Kisia amemtaja winga wa kilabu ya Nakuru Rfc Chrisant Ojwang wakati wa kukitaja kikosi cha Morans kwa ajili ya mashindano ya...
Wachuuzi wa nyanya katika soko la Kwa Charo-Maeo, mjini Kilifi, wamelalamikia athari za mvua zinazoendelea kunyesha, wakisema kuwa hali hiyo inasababisha nyanya nyingi kufika sokoni zikiwa...
Sekta ya uvuvi katika mji wa Malindi kaunti ya Kilifi, inaendelea kukumbwa na changamoto kufuatia upepo mkali unaovuma baharini kwa kipindi cha wiki kadhaa sasa, hali...
Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na Benki Kuu ya Kenya (CBK) katika sekta ya Kilimo umebainisha kuwa kuna ongezeko la bei ya bidhaa muhimu za chakula,...