Staa wa Bongo Fleva Alikiba ameibua mjadala mzito kufuatia kauli yake aliyoitoa baada ya kufanya show kubwa na yenye mafanikio jijini Mwanza, nchini Tanzania. Baada ya...
Kanye West amejipata katikati ya mjadala mzito wa kimataifa baada ya kuzuiwa kuingia nchini Uingereza, hatua iliyochangia moja kwa moja kufutwa kwa Wireless Festival, tamasha kubwa...
Ni miaka 32 tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari nchini Rwanda. Leo, tarehe saba Aprili, raia wa Rwanda pamoja na dunia kwa ujumla wanaungana kukumbuka kuanza...
Taifa la Cameroon limeidhinisha mabadiliko ya kisheria kuhusu wadhfa wa makamu wa rais na kumpa mamlaka zaidi rais wa taifa hilo kufanya uteuzi upya. Sheria hiyo...
Mwili wa Mama Dorothy Baya Mweri ambaye ni Mama mzazi wa bunge wa Kilifi Kazkazini Owen Baya umetolewa katika makafani ya hospitali ya rufaa ya Kilifi...
Huenda wakenya wakalazimika kuingia mifukoni mwao hata zaidi ili kugharamia bajeti ya taifa ya mwaka wa kifedha wa 2025/2026 ambayo inakadiriwa kufikia shilingi trilioni 4.6. Bajeti...
Afisa mkuu mtendaji wa Mamlaka ya Bandari nchini (KPA) Kapteni William Ruto, amenusurika baada ya kuhusika kwa ajali mbaya ya barabarani iliyosababisha kifo cha binti yake,...
Kiwango cha mashindano ya kila mwaka ya mbio za jahazi ambayo huandaliwa katika mkono wa bahari wa Old Ferry mjini Kilifi, sasa kitapanda hadhi na kuwa...
Serikali ya kaunti ya Mombasa imetangaza kipindi cha siku 45, kuanzia tarehe 1 Aprili, kwa wamiliki wa ardhi kulipia ada zao za umiliki wa ardhi (land...
Halmashauri ya kupambana na ukame nchini NDMA ikishirikiana na serikali ya kaunti ya kwale imewakabidhi rasmi wakaazi Taru wadi ya Macknon mradi wa maji wa Taru-Roka-Egu-Kwa...