Kikosi cha Wanariadha 20 wa Kenya kiko tayari kwa changamoto ya Kilifi huku wapinzani wa bara wakisaka pointi za viwango Pwani ya Kenya itageuka tena kuwa...
Serikali imewahimiza wakenya kutumia fursa ya siku ya kitaifa ya mapumzo ya Mazingira Oktoba 10, na kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi na kupanda miti ili kudhibiti mabadiliko...
Mchungaji na msemaji wa motisha, Robert Burale, amewashtaki mke wake wa zamani, Rozina Mwakideu, na mtangazaji wa redio na televisheni, Alex Mwakideu, kwa madai ya kumchafulia...
Kocha Ruben Amorim amepewa muda wa miaka mitatu kujithibitisha katika klabu ya Manchester United baada ya mmiliki mwenza Jim Ratcliffe kusisitiza kwamba hatatoa uamuzi wa haraka...
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC iliwaidhinishwa wagombea wa nafasi mbalimbali za changuzi ndogo zitakazoandaliwa Novemba 27 mwaka huu kabla ya kuanza rasmi kampeni...
Nahodha wa England Harry Kane huenda akakosa kushiriki katika mechi ya kirafiki dhidi ya Wales Alhamisi, baada ya mshambuliaji huyo wa Bayern Munich kushindwa kufanya mazoezi...
Kocha mkuu wa timu ya taifa Musa Benjamin ametangaza kikosi cha wachezaji 34 watakaoiwakilisha Kenya, maarufu kama Hit Squad, katika Mashindano ya Ndondi ya Afrika Kanda...
Kocha mkongwe John Baraza ameagana rasmi na klabu ya Bandari FC, siku mbili tu baada ya klabu hiyo kumtambulisha Mohammed Borji kama kocha mkuu mpya, huku...
Mashirika ya Kenya ya kupigania amani katika jamii yameendelea kujizolea sifa na umaarufu katika taifa jirani la Tanzania baada ya kutuzwa kwenye mashindano ya mpango wa...
Timu ya taifa ya Harambee Stars imejaa kujiamini kabla ya mchezo wao muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia la FIFA 2026 dhidi ya Burundi utakaochezwa Oktoba...