Mwenyekiti wa Chama cha upinzani nchini Tanzania cha Wananchi CUF Prof Ibrahim Lipumba ametoa wito wa mchakato wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi huu nchini humo kutoingiliwa...
Taifa la Uhispania limethibitisha Jumatatu kwamba kiungo wa kati wa Manchester City, Rodri Hernández, hatatumikia timu ya taifa katika mechi zao zijazo za kufuzu Kombe la...
Kikosi cha waendesha baiskeli wasio na usikivu ya Kenya inalenga kutwaa ushindi katika Michezo ya Deaflympics ya Tokyo 2025 itakayofanyika kuanzia Novemba 15 hadi 26, huku...
Timu ya taifa ya ndondi imeongeza kasi ya maandalizi kuelekea Mashindano ya Ndondi ya Kanda ya Tatu ya Afrika (Africa Zone 3 Boxing Championships), yatakayofanyika kuanzia...
Maafisa wa Usalama wamenasa shehena ya Bangi katika daraja la Sabaki, Mjini Malindi Kaunti ya Kilifi, iliyokuwa imefichwa kwenye makasha ndani ya basi lililokuwa likisafiri kitoka...
Muunda maudhui maarufu kutoka Kenya, Presenter Kai, amewataka wasanii waliojitokeza kwa pamoja kutengeneza wimbo DEDE, Kilifi One, kuufuta kwenye mitandao na kurudi tena studio. Kai, ambaye...
Mwanamuziki nyota wa Kenya, Bien-Aimé Baraza almaarufu Bien, amepata nafasi kubwa ya kimataifa baada ya kutajwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha la Afro Nation Portugal...
Mashindano ya nne ya kila mwaka ya Lamu7s Rugby Tournament, yaliyoandaliwa na Waridi Foundation, yamethibitisha nafasi ya michezo katika kuonyesha muunganiko wa kuwawezesha vijana, utalii endelevu,...
Mashindano ya kandanda ya kombe la Dola yamezinduliwa rasmi hii leo mjini Mombasa. Mashindano hayo ambayo yanajumuisha timu ishirini kutoka kaunti za Mombasa, Kwale na Kilifi,...
Mwanasiasa Stanley Kenga Karisa imejiunga rasmi na Chama cha DCP kinachoongozwa na Rigathi Gachagua. Kenga amejiunga na Chama hicho ili kugombea ubunge wa Magarini kaunti ya...