Mahakama ya Kilifi imemhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 36 kwa kosa la kumpiga bibi yake na kumsababishia majeraha. Akitoa...
Kocha mkuu wa Bandari FC, Ken Odhiambo, ameonyesha kujiamini kuwa kikosi chake kipo tayari kurejea kwenye njia ya ushindi, wanapowakaribisha Shabana FC Jumapili alasiri kwenye mechi...
Shirikisho la Ndondi Kenya (BFK) limepongeza maendeleo makubwa ambayo mchezo huo umefanya katika miaka ya hivi karibuni, likihusisha mfumo thabiti wa ligi na miradi ya mashinani...
Baraza kuu la vyombo vya habari nchini MCK limeshinikiza kutengwa kwa shilingi milioni 1.5 ambazo zitatumika kuanzisha mfumo wa ukaguzi wa masuala ya maadili utakaotumia akili...
Mkuu wa sheria ameiambia mahakama kuwa hana ufahamu kuwa afisa wa polisi Benedict Kabiru alifariki dunia nchini Haiti, kinyume na matamshi ya rais William Ruto katika...
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amekubali kushindwa katika uchaguzi wa wiki jana, akisema katika hotuba yake kwa taifa kwamba ni wazi mpinzani wake Peter Mutharika alikuwa...
Bunge la Taifa limeitambua rasmi nafasi ya kipekee ya Kenya katika Mashindano ya Dunia ya Riadha yaliyokamilika Tokyo, ambapo Timu ya Kenya ilidhihirisha ubabe wake duniani...
Timu ya vijana ya Kenya Baseball5 imewasili Nayarit, Mexico, tayari kuiwakilisha nchi katika Kombe la Dunia la Baseball5, linaloanza Jumatano kwenye uwanja wa Parque La Loma....
Mgombea wadhifa wa ubunge katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi kupitia chama cha DCP Furaha Chengo Ngumbao almaarufu Kalama Wehu, amekana kupokea maagizo ya...
Mamlaka ya udhibiti wa kawi na petroli (EPRA) imekutana na maafisa wa Serikali ya Kaunti ya Mombasa kwa lengo la kutoa elimu kuhusu kanuni mpya za...