Mwakilishi wa wadi ya Kasighau kaunti ya Taita Taveta Amos Makalo ametoa wito kwa serikali kuu kuendeleza mpango wa ugavi wa chakula cha msaada katika eneo...
Timu ya taifa la Uingereza ilituma onyo kali kwa wapinzani wao wa Kombe la Dunia baada ya kuifumua Serbia 5-0 katika mchezo wa kufuzu siku ya...
Matumaini ya taifa la Misri la kufuzu Kombe la Duniabado baada ya kutoka sare tasa ya 0-0 dhidi ya Burkina Faso kwenye mechi ya Kundi A...
Visiwa vya Cape Verde, taifa dogo la kisiwa Afrika Magharibi lenye idadi ya watu wasiozidi 550,000, iliishinda Cameroon 1-0 siku ya Jumanne na kuimarisha matumaini ya...
Kocha wa zamani wa Ubelgiji Domenico Tedesco amechukua nafasi ya Jose Mourinho kama meneja wa klabu ya Uturuki Fenerbahce kwa mkataba wa miaka miwili, klabu hiyo...
Taasisi ya utafiti wa bahari na uvuvi nchini, KEMFRI, imeanzisha mradi maalum wa kuzalisha mbegu za samaki, ili kuongeza upatikanaji wao na kuinua sekta ya uvuvi...
Serikali ya Kaunti ya Mombasa kwa ushirikiano na shirika la Christian Blind Mission (CBM) imeanzisha rasmi mpango mpya wa kuboresha afya ya macho kwa wakaazi wa...
Nahodha wa kilabu ya Gor Mahia, Philemon Otieno, ametangaza kuwa kikosi hicho kiko tayari kwa pambano lao kubwa la maandalizi ya msimu dhidi ya miamba wa...
Baadhi ya viongozi wa jamii ya mijikenda eneo la pwani wamekosoa mpangilio wa sherehe za kitamaduni za jamii ya kimijikenda maarufu chenda chenda zilizofanyika jana Kaunti...
Spika wa bunge la seneti Amason Kingi ameagiza asasi za usalama kufanya uchunguzi wa haraka kufuatia kifo cha wakili mmoja jijini Nairobi Mathew Kyalo Mbobu. Kingi...