Mbunge Kiharu Ndindi Nyoro amekosoa hatua ya serikali kutegemea mikopo inayozidi kuongezeka, kwa kutumia hazina za kitaifa kama dhamana kwa mipoko. Nyoro alitaja hatua hiyo kama...
Kamati ya Bunge la kitaifa kuhusu uchumi wa bahari imewataka viongozi wa pwani kuhakikisha fedha zinzotolewa na serikali kuu pamoja na mashirika mengine kwa ajili ya...
Kenya itakuwa mwenyeji wa uzinduzi wa utalii wa anga(Astro-tourisim) katika kaunti ya Samburi Septemba 7, 2025, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha na kubadilisha aina...
Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen ameonya kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahalifu nchini. Akizungumza katika kongamano la Jukwaa la Usalama kaunti ya Vihiga, Waziri Murkomen alitoa...
Idara ya usalama kaunti ya Kilifi imeripoti kupungua kwa visa vya mauaji ya wazee, hatua inayotajwa kuwa mafanikio makubwa katika juhudi za kukomesha uhalifu huo unaochochewa...
Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, Erastus Ethekon, amesisitiza umuhimu wa usalama katika maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027. Akizungumza...
Bingwa taji la US Open mchezo wa tenisi Jannik Sinner anatarajia mechi ya kipekee na “maalum” atakapokutana na mchezaji wa pili duniani Carlos Alcaraz raia wa...
Ndoto ya Harambee Stars ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2026 ilizimwa rasmi hapo jana baada ya kuchapwa mabao 3-1 na The Scorpions ya...
Kocha mkuu wa Uingereza, Thomas Tuchel, amesisitiza kwamba hakuna “laana” inayoisumbua timu yake anapoangazia kukatiza ukame wa karibu miaka 60 bila kushinda taji kubwa la kimataifa....
Mshambulizi Lionel Messi alifunga mara mbili kwa Argentina katika mazingira ya kihisia jijini Buenos Aires siku ya Alhamisi, huku Uruguay, Colombia na Paraguay wakijiunga na mabingwa...