Wavuvi kaunti ya Kwale walalamikia kukandamizwa na wavuvi kutoka taifa jirani la Tanzania kufuatia mizozo ya mipaka. Kulingana nao wavuvi hao, wamekua wakinyanyaswa na hata kutozwa...
Mshindi wa medali ya shaba ya Olimpiki Mary Moraa amemuomba Rais William Ruto aendeleze moyo wake wa ukarimu aliouonyesha kwa wachezaji wa mpira wa miguu, pia...
Afisa anayesimamia gereza la Shimo la Tewa, Abdi Willy Adan amekanusha madai yalioibuliwa na mhubiri tata Paul Mackenzie kwamba maisha yake yako hatarini akiwa katika gerezani...
Jamii ya wadigo katika kaunti ya Kwale imejitokeza na kuikosoa serikali dhidi ya kauli yake kwamba kuna tetesi za kuzuka kwa vuguvugu la Mombasa Repubilican Council...
Baadhi ya Wavuvi katika kaunti ya Kwale wamelalamikia hatua iliyochukuwa na kamati ya ukusanyaji maoni ya umma kuhusu mswada wa usimamizi na maendeleo ya uvuvi. Wavuvi...
Mkufunzi wa kilabu ya Kenya Police Bullets, Beldine Odemba, amesema timu yake iko tayari kupambana hadi mwisho na kutwaa ubingwa wa CECAFA Qualifiers za Ligi ya...
Kila kitu kimekamilika kwa Mashindano ya Golf ya SportsBiz Africa,makala ya tano ya Sunshine Development Tour East Africa Swing, yanayoanza leo katika Kigali Golf Resort &...
Mwakilishi wa wadi ya Mbololo kaunti ya Taita taveta Lawrence Mzugha ametoa wito kwa vijana katika eneo hilo kuzingatia elimu. Kulingana na Mzugha kuna nafasi nyingi...
Wakaazi wa Magarini kaunti ya Kilifi wanalalamikia kukithiri kwa changamoto ya uhaba wa maji inayoendelea kushughudiwa katika eneo hilo. Wakiongozwa na Joseph Kithi, wakaazi hao walielezea...
Rais wa Japan Karate Association Kenya, wakili George ametangaza kuwa mdhamini mkuu wa timu za Karate kutoka Kilifi kushiriki katika Mashindano ya Desemba yajayo. Mashindano ya...