Serikali ya Kenya na Uganda zimeafikia azimio la ushirikiano ili kuboresha sekta ya utalii kwa kuuza sifa za vivutio vya utalii kupitia mfumo wa teknolojia na...
Rais William Ruto amebuni jopokazi la pamoja linaloshirikisha idara mbalimbali nchini na mashirika ya kiserikali ili kupiga jeki vita dhidi ya ufisadi nchini. Jopokazi hilo linahusisha...
Serikali imetangaza kwamba bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini HELB imesambaza shilingi bilioni 9.46 kwa wanafunzi 309,178 wa vyuo vikuu kote nchini. Waziri wa...
Wakaazi wa eneo la Chumani, Wadi ya Matsangoni Kaunti ya Kilifi, wameandamana kulalamikia kucheleweshwa kwa ujenzi wa barabara ya Malindi-Mombasa, wakidai kwamba barabara hiyo imekuwa hatari...
Sherehe za kitamaduni za Chenda chenda za Makaya Tisa katika ukanda wea Pwani ambazo hufanyika kila mwaka, zimeratibiwa kufanyaika katika kaunti ya Kwale mwaka huu. Kikao...
Bunge la seneti limetangaza kwamba siku ya Jumatano Agosti 20, 2025 litakuwa na kikao maalum cha bunge ili kujadili hoja mbili muhimu kwa kuambatana na sera...
Mshambulizi wa kilabu ya Brenford Yoane Wissa amefuta picha zake zote zinazomhusisha na kilabu yake hiyo. Mshambuliaji huyo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, aliondolewa kwenye...
Kocha wa Real Madrid, Xabi Alonso, amesema maandalizi mafupi ya kabla ya msimu hayatakuwa kisingizio huku kikosi chake kikijiandaa kuanza kampeni ya La Liga nyumbani dhidi...
Timu ya taifa ya voliboli ya wanawake ya Kenya, Malkia Strikers, wameingia siku ya tatu ya kambi yao ya mafunzo yenye kasi kubwa nchini Vietnam wakijiandaa...
Wakulima wa korosho eneo la pwani wanalalamikia mazao duni kutokana na uvamizi wa wadudu kwenye mimea yao. Kulingana na wakulima hao, mmea huo ulivamiwa na wadudu...