Kocha mkuu wa KCB RFC, Andrew Amonde, amewapongeza wachezaji wake kwa uthabiti na utulivu wao baada ya kuonyesha kiwango cha juu kipindi cha pili na kuibuka...
Klabu ya Arsenal kiliendeleza harakati zao za kuwania ubingwa wa Premier League baada ya kuibuka na ushindi muhimu wa mabao 2-1 dhidi ya Chelsea waliobaki na...
Klabu ya AFC Leopards waliandikisha ushindi mkubwa wa mabao 5-1 dhidi ya Shabana FC katika mechi kali iliyopigwa kwenye Nyayo National Stadium, na hivyo kupunguza pengo...
Uchunguzi wa ajali ya ndege aina ya Helkopta iliyowaua watu sita akiwemo Mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng’eno umeanza rasmi huku wachunguzi wakifika katika eneo la...
Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Douglas Kanja amesema uchunguzi unaendelea ili kuwatambua mawakala matapeli waliowahadaa wakenya kujiunga na jeshi la Urusi kupigana vita dhidi ya Ukraine....
Serikali imetahadharisha wakenya kuwa makini hasa wanapoahidiwa ajira katika mataifa ya ughaibuni ili kuepuka kulaghaiwa au kujikuta katika hali hatarishi. Katibu katika Wizara ya Leba nchini...
Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma, DPP, amefunga rasmi kesi ya nne na ya mwisho inayohusiana na mauaji ya halaiki ya watu katika msitu wa Shakahola,...
Idara ya usalama nchini imethibitisha kwamba baadhi ya mikutano ya kisiasa inayoandaliwa nchini, wahusika wamekuwa wakikosa kuwaarifu maafisa wa usalama. Msemaji wa idara ya polisi nchini...
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, imepiga marufuku matumizi ya simu za rununu kwenye eneo maalum la upigaji kura wakati wa zoezi la uchaguzi....
Tume ya huduma za Mahakama nchini JSC imetangaza kupokea maombi ya wakenya wanaotaka kujaza nafasi iliyowachwa wazi ya Jaji wa Mahakama ya Upeo Mohammed Ibrahim. Katika...