Msanii wa bango, Bavyombo, amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza marufuku ya matumizi ya kauli maarufu “Mama Amina” ndani ya bendi yake...
Wakili na mwanasiasa, George Kithi, hatimaye ameweka mambo wazi kuhusu madai yaliyokuwa yakisambaa kwamba alikuwa nyuma ya mpango wa kumleta msanii maarufu wa Tanzania, Zuchu, kutumbuiza...
Binti wa aliyekuwa gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko, Saumu Mbuvi, ameeleza wazi kuwa ndoa si kipaumbele tena maishani mwake, hasa baada ya sakata la...
Mwanamuziki wa muziki wa kufoka (hip-hop) Kaa la Moto ameendelea kuthibitisha kuwa bado ni nguzo muhimu katika harakati za muziki wa Pwani, baada ya kuachia wimbo...
Mchekeshaji maarufu wa Kenya, Sammy Kioko, ametangaza kuwa ameamua kuuza gari lake ili kukusanya fedha za kugharamia matibabu ya dada yake ambaye anapitia changamoto kubwa kiafya....
Wimbo Diamond Platnumz na Ciara “Low” umeingia rasmi kwenye chati kubwa za muziki Marekani, ukishika nafasi ya #37 kwenye Billboard Mainstream R&B/Hip-Hop Airplay na #49 kwenye...
Kifo cha Raila Amolo Odinga, maarufu kama Baba, kimeacha pengo kubwa katika historia ya Kenya.Sio tu kwenye siasa, bali pia katika ulimwengu wa sanaa na muziki...
Mchungaji na msemaji wa motisha, Robert Burale, amewashtaki mke wake wa zamani, Rozina Mwakideu, na mtangazaji wa redio na televisheni, Alex Mwakideu, kwa madai ya kumchafulia...
Muunda maudhui maarufu kutoka Kenya, Presenter Kai, amewataka wasanii waliojitokeza kwa pamoja kutengeneza wimbo DEDE, Kilifi One, kuufuta kwenye mitandao na kurudi tena studio. Kai, ambaye...
Mwanamuziki nyota wa Kenya, Bien-Aimé Baraza almaarufu Bien, amepata nafasi kubwa ya kimataifa baada ya kutajwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha la Afro Nation Portugal...