Iran inatarajiwa kumtangaza kiongozi mkuu mpya atakayechukua nafasi ya Ayatollah Ali Khamenei aliyeuawa wiki moja iliyopita kufuatia mashambulizi ya Marekani na Israel. Mmoja wa wajumbe wa...
Waziri wa mambo ya nje wa taifa la China Wang Yi ametahadharisha kuhusu hatari ya China kutokuelewana na Marekani, akisema hatua hiyo itapelekea kushughudiwa kwa migogoro...
Kwa siku ya tano mfululizo Jeshi la Israel kwa ushirikiano na Marekani, limefanya mashambulio mapya katika ardhi ya Iran dhidi ya kile imekitaja kuwa kuangamiza kabisa...
Familia moja inatafuta hifadhi ya kisiasa nje ya nchi kufuatia kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uhaini kwa baadhi ya wanafamilia wake nchini Tanzania, baada ya machafuko...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu sasa ametaka mazungumzo na upinzani wa taifa hilo baada ya uchaguzi uliokumbwa na utata na ghasia. Wito huu ukitolewa siku moja...
Ripoti ya waangalizi wa Umoja wa Afrika imesema uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, haukuzingatia viwango vya demokrasia na kanuni za kimataifa. Ujumbe huo ulieleza kwamba...
Mwenyekiti wa Chama cha upinzani nchini Tanzania cha Wananchi CUF Prof Ibrahim Lipumba ametoa wito wa mchakato wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi huu nchini humo kutoingiliwa...