Mahakama ya Kilifi imetoa hukumu kwa washtakiwa zaidi ya 10 waliowasilishwa Mahakamani wakikabiliwa na mashtaka mbalimbali ikiwemo kesi za unajisi na makosa ya jinai. Katika vikao...
Maafisa wa polisi katika eneo bunge la Likoni kaunti ya Mombasa wanawazuiliwa washukiwa 5 wa uhalifu waliokamatwa katika oparesheni iliyofanyika maeneo ya Duduz na Bufallo siku...
Mahakama ya Kilifi imeagiza kuendelea kuzuiliwa kwa siku 6 zaidi Alice Auma Omondi anayetuhumiwa kuhusika kwenye kesi ya mauaji ya mtoto Keziah aliyekuwa na umri wa miaka...
Idara ya usalama kaunti ya Kwale imewaonya wananchi dhidi ya kuchukua sheria mikono na kusababisha maafa katika jamii kwa kisingizio cha kuwaua wazee kwa tuhma za...
Rais William Samoei Ruto amewaongaza wakenya kuadhimisha sherehe za kitaifa za 63 za Madaraka katika kaunti ya Wajir. Hatua hii ni ya kihistoria kuwa kufanyika katika...
Mahakama Kuu nchini imesitisha kwa muda mpango wa serikali ya Marekani na Kenya wa kuanzisha kituo cha karantini cha Ebola humu nchini. Jaji wa Mahakama hiyo,...
Mahakama ya Kilifi imeagiza kuzuiliwa rumande kwa siku 21 mwanamke mmoja anayekabiliwa na shtaka la kumuuwa mwanawe kwa kumzika akiwa hai. Hakimu wa Mahakama hiyo Charles...