Bingwa wa taifa wa mbio za mita 10,000, Gladys Kwamboka, aling’ara katika mashindano ya Betika BingwaFest kanda ya Pwani yaliyofanyika katika Chuo cha Ualimu cha Shanzu,...
Waendeshaji mashtaka nchini Morocco Alhamisi waliomba mahakama kuwahukumu kifungo cha hadi miaka miwili jela mashabiki 18 wa soka kutoka Senegal walioko rumande mjini Rabat tangu fainali...
Kamati ya Bunge ya Kitaifa ya Michezo na Utamaduni Alhamisi imekataa pendekezo la Wizara ya Michezo la kuongeza bajeti ya maandalizi ya Kombe la Mataifa ya...
Winga machachari wa taifa la Uingereza Bukayo Saka ametia wino mkataba mpya wa miaka mitano na klabu yake ya Arsenal ya London Kaskazini. Mkataba huo mpya...
Mwakilishi wa Soka la Wanawake Kaunti ya Kilifi, Elizabeth Santa Hinzano, amesema kuwa mwaka jana shirikisho lilijitahidi kuweka mikakati ya kuanzisha Ligi ya Wanawake ya Kaunti. Hinzano...
Safari ya Kenya katika duru ya Nairobi ya mashindano ya HSBC SVNS 2 ilikwama Jumapili jioni baada ya Shujaa kupokea kichapo cha mabao 21–5 kutoka kwa...
Ligi Kuu ya Kaunti ya Kilifi chini ya Shirikisho la Soka nchini (FKF) inatarajiwa kuanza rasmi tarehe 21 Machi mwaka huu. Uamuzi huo ulifikiwa katika mkutano...
Ni rasmi golikipa wa klabu ya Beach bay ya Magharini Khaki Nickson amejiunga na klabu ya Sango sportiff ya Tana River inayoshiriki ligi ya divisheni ya...
Kamati ya utendaji ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam, Tanzania, Ijumaa ya leo Februari 13, 2026. Inaelezwa kuwa tayari Tanzania...
Wanahabari katika eneo la Pwani hii leo wanatarajiwa kushiriki michezo ya kirafiki ya soka kama sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. Michuano hiyo itaandaliwa...