Mshambulizi nyota wa Taifa la Ureno Cristiano Ronaldo amwaga wino mkataba wa miaka 2 na kilabu yake ya Al Nassr na kupuzilia mbali uvumi kuondoka kwa...
Mamlaka ya mawasiliano nchini CA imeondoa amri ya kuzuia vituo vya redio na televisheni kuweka mubashara matangazo kuhusu maandamano. Uamuzi huo ni kufuatia amri ya mahakama...
Serikali ya Misri imepanga kuanzisha kituo cha mwaswala ya maji na usafirishaji baharini jijini Mombasa kama sehemu ya ushirikiano katika ya kenya na Misri. Tangazo hilo...
Mkenya na bingwa mara tatu wa mbio za Olimpiki mita 1500 Faith Kipngetich Kipyegon akosa kuvunja rekodi na kukimbia maili moja chini ya dakika 4 baada...
Bunge la kaunti ya Isiolo limembandua Mamlakani Gavana wa kaunti hiyo Abdi Ibrahim Guyo. Hii ni baada ya Wawakilishi wadi 16 kati ya 18 katika bunge...
Waziri wa Elimu nchini Julius Migos Ogamba amewataka walimu wakuu wa shule za upili kuwapa wanafunzi vyeti vyao vya masomo. Ogamba vile vile aliwapongeza baadhi ya...
Kilabu ya Liverpool imetangaza kupata sahihi ya beki wa kushoto Milos Kerkez raia wa Hungary kutoka kilabu ya AFC Bounemouth ya Uingereza. Mchezaji huyo mwenye umri...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chibo Dee amevunja ukimya na kueleza kwa kina sababu zilizompelekea kuonekana kuisifu serikali, akijibu kwa hisia ukosoaji kutoka kwa blogger...
Maafisa wawili wa polisi wamefariki baada ya kunaswa na umema kwenye kituo cha polisi cha Ainamoi eneo bunge la Ainamoi kaunti ya Kericho wakati walipokuwa wakijaribu...
Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu nchini KNCHR imesema watu 8 wamethibitishwa kuaga dunia wakati wa maandamano yaliofanyika katika maeneo mbalimbali nchini. Tume hiyo...