Serikali ya Kenya na Rwanda zimesaini mkataba wa makubaliano (MoU) unaolenga kuanza rasmi utekelezaji wa ofisi ya uhusiano ya halmashauri ya bandari nchini (KPA) jijini Kigali,...
Mahakama ya kuu jijini Nairobi imesikiliza kesi ya ufisadi inayomkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya kitaifa ya Ardhi (NLC), Prof Mohammad Swazuri, pamoja na washukiwa wengine...
Rais William Ruto amewaagiza wanafunzi wote wa gredi ya 10 ambao hawana karo ama sare za shule kuhakikisha wanaripoti shuleni kuanzia hapo kesho siku ya Ijumaa....
Watu saba wanazuiliwa na maafisa wa polisi katika eneo la Rabai kaunti ya Kilifi baada ya kukamatwa kwa madai ya kufanya uchawi katika kijiji cha Buni,...
Mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya amesema kunahaja ya serikali kuu kuhusisha maoni ya umma katika suala la raslimali za madini kabla ya kuruhusu waekezaji kuanza...
Waziri wa elimu nchini Migos Ogamba ameonya wakuu wa shule wanaolazimisha wazazi kununua sare katika maduka maalum. Waziri Ogamba alisema hali hiyo inakiuka kaununi zilizowekwa na...
Serikali imehakikishia wakaazi wa kaunti 23 nchini ambazo zinakabiliwa na makali ya ukame kwamba inachakula cha kutosha cha kuwawezesha kukabiliana na makali ya njaa. Akizungumza katika...
Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino amekosoa uongozi wa Kinara wa Chama cha ODM Dkt Oburu Oginga na kumtaka kuukabidhi uongozi wa Chama hicho kwake. Owino...
Serikali kuu imesema imefikia asilimia 70 ya wanafunzi wanaojiunga na shule za gredi ya 10 kote nchini ili kuhakikisha hakuna wanafunzi anasilia nyumbani. Waziri wa usalama...
Mwishoni mwa juma, tarehe 10 na 11 mwezi Januari 2025 Kenya ilijawa na hisia kinzani kuhusiana na ujio wa mwanamitandao kwa jina Ishow speed. Mitandao ya...