Familia moja eneo la Junju kaunti ya Kilifi inalilia haki baada mtoto wao kwa jina Anestine Dzidza Tunje mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 wa Gredi...
Mahakama ya Kilifi imemnyima dhamana mwanaume mmoja anayekabiliwa na shtaka la unajisi wa mtoto wa umri wa miaka 11 kisha kutishia kumuua iwapo angesema kuhusu kitendo...
Mahakama maalumu nchini Sudan Kusini inayosikiliza kesi ya uhaini, mauaji na dhulma za kibinadamu dhidi ya aliyekuwa makamu wa kwanza wa rais Riek Machar, imetupilia mbali...
Akiwa na uzoefu mkubwa, ikiwa ni pamoja na kucheza na wachezaji wasio na ulemavu wa kusikia, Winnie Adhiambo mwenye umri wa miaka 34 atakuwa miongoni mwa...
Rwanda yatangaza udhamini wa muda mrefu na Los Angeles Rams na LA Clippers, na kuwa taifa la kwanza barani Afrika kushirikiana na NFL na NBA kwa...
Rais William Ruto amesisitiza kuwa serikali yake inawekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta muhimu za elimu na afya ili kuhakikisha maisha bora kwa wananchi. Akizungumza katika...
Wafanyibiashara wa kuuza matunda kaunti ya kilifi wanalalamikia kudorora kwa biashara zao kufuatia kupungua kwa matunda. Wakizungumza na Coco Fm wafanyibiashara hao walisema kwa sasa matunda...
Wadau wa sekta ya utalii eneo la Pwani wametoa wito kwa serikali kufungua anga ya Kenya kwa mashirika zaidi ya ndege za kimataifa, wakisema kuwa hatua...
Vijana na wapenzi wa mchezo wa Voliboli Kilifi sasa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kilio chao cha kupata uwanja mpya kuonekana kujibiwa hivi karibuni....
Uhasama wa muda mrefu kati ya mastaa wakubwa wa rap, Cardi B na Nicki Minaj, umeibuka tena, ukifufua moja ya bifu maarufu zaidi katika historia ya...