Kenya sasa inakabiliwa na hatari ya kupanda kwa bei za mafuta, huku mgogoro unaoendelea mashariki ya Kati ukianza kuathiri bei nchini. Serikali sasa imeonya kuwa kufikia...
Mradi wa unyunyizaji maji wa Bura katika kaunti ya Tanariver umeanza kushuhudia mvutano kuhusu umiliki wa ardhi. Hii ni baada ya wakaazi wa eneo hilo kuitaka...
Serikali ya kaunti ya Kilifi imebuni jopo la kuchunguza malimbikizi ya madeni ambayo yamedumu kwa muda mrefu bila ya wanakandarasi kulipwa zabuni zao. Jopo hili lililoteuliwa...
Vita vya Iran vinaweza kuisha hivi karibuni au kuendelea kwa miezi kadhaa licha ya tamko la rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mpango ya kumaliza vita...
Rais Donald Trump amesema kwamba Marekani itaondoka Iran hivi karibuni na hatua za kijeshi za nchi hiyo zitakomeshwa ndani ya wiki mbili au tatu zijazo. Rais...
Msanii wa nyimbo za kizazi kipya, Hubby Africana, ameibua mjadala mpana mitandaoni baada ya kauli yake ya hivi karibuni aliyochapisha kupitia ukurasa wake wa Facebook. Kupitia...
Bunge la Israel limepitisha sheria mpya inayotoa adhabu ya kifo kwa Wapalestina watakaopatikana na hatia ya mashambulizi ya mauaji dhidi ya Waisrael. Sheria hiyo ilipitishwa kwa...
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imeanza rasmi zoezi la kuwasajili wapiga kura wapya kote nchini, huku ikilenga kuwasajili wapiga kura milioni 6.2, kabla...
Zoezi endelevu la usajili wa wapiga kura kote nchini limeng’oa nanga huku maafisa wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC wakilenga idadi kubwa ya...
Mtengeneza maudhui maarufu Beka Ruga amezua mjadala mkali mitandaoni baada ya kumkosoa vikali mchekeshaji Madundo wakati wa “live” aliyofanya pamoja na Bujra saa chache zilizopita. Akijibu...