Timu ya taifa ya wanawake wasiozidi umri wa miaka 20 Rising Starlets imefuzu kwa raundi ya tatu ya mechi za kuwania tiketi kushiriki fainali za Kombe...
Mgombea wa nafasi ya ubunge wa Magarini kaunti ya Kilifi kwa chama cha Democracy for Citizens Party DCP Furaha Chengo Ngumbao maarufu Kalama Wehu amejiuzulu kutoka...
Mkenya Philemon Kiriago alitoa medali pekee ya dhahabu ya kibinafsi kwa Kenya wakati mashindano ya World Mountain and Trail Running Championships yalipokamilika mjini Canfranc Pirineos, Hispania,...
Kilabu ya Arsenal walipata ushindi wa kishujaa wa 2-1 ugenini dhidi ya Newcastle Jumapili, wakionesha mapema dhamira yao kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya...
Wadau wa masuala ya mazingira katika kaunti ya Mombasa wanaitaka sekta ya viwanda kuwajibikia taka za plastiki wanazozalisha ili kuzuia uchafuzi wa Mazingira. Wakiongozwa na Afisa...
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC inatarajiwa kuanza rasmi zoezi la usajili wa wapiga kura wapya kote nchini, Septemba 29 mwaka huu huku ikijiandaa...
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mombasa Martin Kivuva ametoa wito kwa serikali pamoja na Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma nchini kuanzisha mazungumzo ya...
Idara ya usalama katika kaunti ya Kilifi imeanzisha uchunguzi baada ya kumkamata Mhubiri tata Kamanza Mwatela Kwa tuhma za mahubiri potovu ya kidini katika kijiji cha...
Waziri wa Utalii, Rebecca Miano, amesema Kenya inalenga kupokea watalii milioni 5 wa kimataifa na wengine takriban milioni 10 wa ndani kwa ndani. Akizungumza jijini Mombasa...
Naibu wa rais Prof. Kithure Kindiki amemkosoa Rais mstaafu Uhuru Kenyata kutokana na matamshi yake dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza. Akirejelea suala aliloibua rais mstaafu...