Rekodi ya kipekee ya michezo inaendelea kuandikwa katika Kombe la Dunia la WBSC Baseball5, ambapo timu ya vijana ya Kenya katika mashindano yao ya kwanza ya...
Mshambuliaji chipukizi wa Kenya U-20 Lawrence Ouma Okoth amepokea wito wake wa kwanza katika kikosi cha timu ya taifa ya wakubwa baada ya kocha mkuu Benni...
Utafiti uliyofanmywa na kampuni ya utafiti ya Infotrak umeonyesha wazi kwamba asilimia 57 ya wakenya wanasema kwamba taifa linaelekea mahali pabaya, asilimia 17 wakiridhishwa na mwelekeo wa...
Kutokana na kuongezeka kwa mafundisho ya itikadi potovu katika madhehebu mbalimbali nchini, sasa serikali imehimizwa kuanza kuwatathmini upya na kuwachunguza wachungaji wote nchini. Aliyekuwa Mwakilishi wadi...
Maafisa wa kukabiliana na dawa za kulevya Malindi katika kaunti ya Kilifi kwa ushirikiano na maafisa wa kitengo maalum cha oparesheni SOG kilicho katika kizuizi cha...
Ni afueni kwa wakulima wa majani Chai baada ya Waziri wa Kilimo nchini Mutahi Kagwe kuzindua soko la mauzo ya Chai maalum ya Othodox katika mnada...
Uchunguzi wa miili iliyofukuliwa kutoka kwa makaburi kwenye kijiji cha Kwa Binzaro kaunti ya Kilifi umeonyesha kwamba baadhi ya miili hiyo ni ya watu waliouawa kimakusudi...
Mapato ya kilimo cha mboga na matunda yalipungua hadi shilingi bilioni 136.6 ikilinganishwa na shilingi bilioni 156.7 zilizonakiliwa mwaka jana. Mapato ya majani chani pia yalipungua...
Rais William Ruto amesema Kenya na Marekani zitasaini mkataba wa kibiashara ifikapo mwisho wa mwaka huu. Rais Ruto anatarajiwa pia kushinikiza Washington kuongeza mkataba wake wa...
Chama cha wanasheria nchini (LSK), tawi la Mombasa, kimetaka kusimamishwa kazi mara moja kwa mkuu wa kituo cha polisi cha Central jijini Mombasa pamoja na maafisa...