Waziri wa Elimu Julius Migos Ogamba alisema serikali ya kitaifa imejiandaa kikamilifu kwa mpito wa wanafunzi kuingia Sekondari ya Juu (Junior Secondary), Januari 2026. Akizungumza katika...
Familia ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta imetoa shilingi milioni 1.5 kusaidia ujenzi wa kituo cha uchungaji cha Stella Maris Pastoral Center katika eneo la Watamu katika...
Serikali imezindua mpango wa kuwasajili wakulima zaidi ya laki tano kupitia mfumo wa usimamizi wa kilimo. Katibu katika idara ya Kilimo nchini Kiprono Runo alisema kuwa...
Serikali ya kitaifa kupitia bodi ya utalii nchini (KTB) imeweka mikakati ya kuwavutia wawekezaji wa kimataifa ili kupanua soko la wageni kutoka mataifa ya nje. Mwenyekiti...
Taifa la India yaweza kupigwa marufuku kushiriki soka la dunia kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka mitatu baada ya FIFA na shirikisho la soka...
Mshindi wa nishani ya shaba ya Olimpiki, Faith Cherotich, ndiye atakayekuwa gumzo atakapoingia uwanjani mjini Zurich leo usiku akilenga kutetea taji lake la fainali za Diamond...
Mchezaji wa Tenisi Carlos Alcaraz raia wa Uhispania alitinga raundi ya tatu ya US Open hapo jana baada ya kushinda kwa seti tatu mfululizo kwa kishindo,...
Winga wa Harambee Stars na Ulinzi Stars, Boniface Muchiri, amepandishwa cheo kwa heshima kutoka Sajenti wa Kawaida hadi Koplo katika Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF),...
Tume huru ya uchaguzi nchini Tanzania (INEC) imekiandikia chama cha upinzani cha ACT Wazalendo kuwa hakitaweza kumteua mgombea wa urais kupitia chama hicho, Luhaga Mpina. Katika...
Serikali ya kaunti ya Mombasa imethibitisha kupokea jumla ya chanjo elfu 5 za homa ya Mpox kutoka kwa wizara ya afya nchini. Chanjo hizo zinalenga kutolewa...