Seneta Maalum Miraj Abdillahi amewataka wakaazi wa kaunti ya Mombasa kuchukua tahadhari ya mapema na kujiepusha na athari za mvua kubwa ambayo tayari zimesababisha vifo na...
Bunge la kaunti ya Mombasa limeidhinisha mswada wa mfuko wa mzunguko wa kaunti ya Mombasa wa mwaka 2025, hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa mikopo nafuu kwa wafanyabiashara...
Katibu katika Wizara ya usalama wa ndani Raymond Omollo ametangaza nyongeza ya asilimia 40 kwa mishahara ya maafisa wa polisi ambayo itaanza kutekelezwa mwezi Julai mwaka...
Waziri wa Wizara ya Masuala ya Vijana, Uchumi bunifu na Michezo, Salim Mvurya, ameshudia hafla rasmi ya kukabidhiwa uenyekiti wa Bodi ya Sports, Arts and Social...
Nyota wa mbio za masafa ya kati kutoka Kenya, Faith Kipyegon, amepata uteuzi wake wa tatu mfululizo kuwania tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Kike wa Mwaka...
Waziri wa Elimu nchini Julius Migos Ogamba amevitaka vyuo vikuu nchini kuanza maandalizi ya mapema kwa ajili ya kupokea wanafunzi watakaohitimu chini ya mtaala wa CBE,...
Kwa siku ya tano mfululizo Jeshi la Israel kwa ushirikiano na Marekani, limefanya mashambulio mapya katika ardhi ya Iran dhidi ya kile imekitaja kuwa kuangamiza kabisa...
Mabingwa wa Ligi Kuu Kenya, Gor Mahia F.C., wamepata pigo kubwa baada ya mshambuliaji wao nyota Felix Oluoch kuondolewa uwanjani kwa muda mrefu kufuatia upasuaji wa...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya kitaifa ya ardhi Dkt Mohammed Swazur pamoja na wenzake 13 wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani siku ya Jumatano tarehe 4 mwezi Machi mwaka...
Mahakama ya Kilifi imeagiza kukamatwa kwa washukiwa watatu akiwemo Wakili Devison Liano Kazungu, ambaye amekuwa akihudumu bila vibali halali pamoja Karani wake Hersi Mathius Kahindi na Lawrence...