Kundi la wanamgambo la Al-Shabab kutoka nchini Somalia limesema liliwaua wanajeshi 47 wa Uganda wanaofanya kazi chini ya Ujumbe wa Umoja wa Afrika wa Kusaidia na...
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro amesema muungano wa madaktari nchini KMPDU umekua kikwazo kikubwa katika kulainisha utendakazi wa madaktari. Gavana Mung’aro alisema muungano...
Mwanzilishi wa kombe la Legends Cup na kocha wa mchezo wa Taekwondo, Onesmas Safari Ngao, amesema kuwa lengo lake kuu ni kuinua viwango vya mchezo huo...
Aliyekuwa mwakilishi wadi wa Marafa, Renson Kambi Karisa amesisitiza haja ya viongozi wa pwani kushirikiana katika kuimarisha ukanda wa pwani. Kambi alisema kuwa kupitia mshikamano huo...
Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC inatarajiwa kuandaa chaguzi ndogo 23 zinazojumuisha viti sita vya bunge la kitaifa, kiti kimoja cha seneti, na nyadhifa kumi...
Utafiti mpya wa kitaifa uliofanywa na Tume ya maadili ya kupambana na ufisadi nchini EACC umeonya wakenya dhidi ya vitendo visivyo vya kimaadili na ufisadi katika...
Wadau wa sekta ya Utalii eneo la Watamu kaunti ya Kilifi wameunga mkono pendekezo la shirika la huduma kwa wanyamapori nchini KWS la kutathmini upya ada...
Maafisa wa huduma kwa wanyamapori nchini KWS wanaendelea na juhudi za kuwaokoa Ndovu wawili waliokwamwa kwenye Matope katika eneo la mkono wa bahari kwenye eneo la...
Raia wawili wa taifa la Burundi wamefikishwa katika Mahakama ya Mombasa kwa madai ya kumiliki na kujaribu kusafirisha pembe za Ndovu zenye thamani ya zaidi ya...
Msanii wa hip hop kutoka Tanzania anayeishi Marekani, Roma Mkatoliki, amevunja kimya kuhusu kile alichokitaja kuwa dhana potofu inayoambatanishwa na muziki wa hip hop. Kupitia mitandao...