Naibu Kinara wa Chama cha Jubilee Dkt Fred Matiangi ameitaka serikali kuwajibika kikamilifu kwa kuhakikisha taifa linazingatia usalama wa wananchi. Matiangi alisema jinsi hali ilivyo kwa...
Bingwa wa taifa wa mbio za mita 10,000, Gladys Kwamboka, aling’ara katika mashindano ya Betika BingwaFest kanda ya Pwani yaliyofanyika katika Chuo cha Ualimu cha Shanzu,...
Waendeshaji mashtaka nchini Morocco Alhamisi waliomba mahakama kuwahukumu kifungo cha hadi miaka miwili jela mashabiki 18 wa soka kutoka Senegal walioko rumande mjini Rabat tangu fainali...
Kamati ya Bunge ya Kitaifa ya Michezo na Utamaduni Alhamisi imekataa pendekezo la Wizara ya Michezo la kuongeza bajeti ya maandalizi ya Kombe la Mataifa ya...
Kesi ya mauaji bila kukusudia inayomhusisha Mhubiri tata Paul Mackenzie na wenzake imechukua mkondo mpya baada ya mmoja wa washtakiwa kuingia katika makubaliano ya kukiri makosa...
Kamati ya elimu katika bunge la kitaifa limekashfu vikali hatua ya Katibu katika Wizara ya elimu nchini Julius Bitok, kushindwa kufika mbele ya Kamati hiyo kujadili...
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amewaonya wakenya wanaoendeleza siasa za vurugu, fujo na ukabili, akisema watu hao wataandamwa na mkono wa sheria. Waziri Murkomen...
Idara ya ujasusi nchini NIS imetoa ripoti yake kuhusu suala la usalama na kuweka wazi kwamba zaidi ya wakenya elfu moja wanashiriki katika vita kwenye mataifa...
Serikali imesema imelipa bili zote ambazo hazikuwa zimelipwa kwa Wanakandarasi wa barabara, ambazo zimefikia shilingi bilioni 177 za miradi ya tangu mwaka wa 2020. Naibu Rais...
Halmashauri ya bandari nchini (KPA), imeimarisha ushirikiano wake na kampuni ya kimataifa ya usafirishaji kwa njia ya bahari, Maersk, katika juhudi za kuboresha huduma na kuongeza...