Idara ya Mahakama nchini pamoja na Wanasheria wanaomboleza kifo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa Fredrick Ochieng’ Andago aliyefariki dunia siku ya Jumatano, Septemba 17, 2025 ...
Mahakama ya Kilifi imeagiza mshtakiwa wa kesi ya usafirishaji wa Mihadarati aina ya bangi kuendelea kuzuiliwa rumande wakati kesi hiyo ikiendelea. Akitoa agizo hilo Hakimu wa...
Rais William Ruto amefungua rasmi kituo kipya cha reli cha Miritini kisiwani Mombasa. Katika taarifa yake wakati wa uzinduzi huo Rais Ruto alisema abiria watakuwa wakilipa...
Serikali imetangaza mpango wa kuongeza mgao wa mafuta ya Petroli na diseli ya kila mwezi kwa magari ya polisi kutoka lita 450 za sasa hadi lita...
Mbunge wa Ganze katika kaunti ya Kilifi Kenneth Kazungu Tungule amesema baadhi ya wawekezaji katika eneo la Jaribuni kaunti ya Kilifi wanaendelea kufungiwa timbo zahadi watakapokamilisha...
Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu sasa wanataka kukamatwa kwa waziri wa vyama vya ushirika Wycliffe Oparanya kufuatia uamuzi wa mahakama kuu kuwa mkurugenzi mkuu wa...
Ushahidi wa kutisha umeendelea kufichuliwa katika kesi ya mauaji ya Shakahola, ambapo Mhubiri tata Paul Mackenzie na washukiwa wenzake 35 wanakabiliwa na mashtaka mazito ikiwemo ukatili wa...
Naibu Chifu wa Shella mjini Malindi kaunti ya Kilifi Nicodemus Mwayele ametoa wito kwa wenyeji kushirikiana na asasi za usalama ili kuyakabili magenge ya kihalifu ambayo...
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amesisitiza umuhimu wa mbinu ya kuhusisha jamii nzima ili kukabiliana na misimamo mikali ya kidini, akionya kuwa kutegemea polisi...
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC na Mamlaka huru ya kuchunguza utendakazi wa maafisa wa polisi nchini IPOA zimeahidi kushirikiana ili kupambana kikamilifu...