Msanii wa muziki wa Pwani ya Kenya Susumila ameweka wazi upande wa kifedha wa safari yake ya muziki, akifichua kuwa thamani yake kwa sasa inakadiriwa kufikia...
Mwanamuziki Bien-Aimé Baraza ameibuka kwa msimamo mkali kupinga tabia ya kuwalinganisha wasanii, baada ya watangazaji wa redio nchini Tanzania kulinganisha wimbo wake mpya “Finale” aliomshirikisha Alikiba...
Ripoti iliyotolewa na Wizara ya elimu nchini kuhusu vyuo vya kiufundi vya TVETs ilibaini kwamba idadi ya wanafunzi wanaojiunga na vyuo hivyo bado iko chini mno....
Msanii maarufu wa Bongo Fleva Ali Kiba ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kuweka wazi msimamo wake kuhusu promosheni ya wimbo mpya Finale. Tofauti na ilivyozoeleka...
Shirika la kimazingira la Center for Justice Governance and Environmental Action limetoa makataa ya siku 30 kwa serikali kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya juu wa kulipa...
Katibu katika Wizara ya usalama wa ndani Raymond Omollo amesema serikali imefanikiwa kutekeleza asilimia 55 ya mageuzi yanayoendelea ya kitaifa katika idara ya polisi nchini. Omollo...
Idara ya misitu kaunti ya Kwale imesema kiwango cha misitu kimefikia asilimia 13.9, ikisisitiza kwamba bado kiwango hicho kiko chini mno ikilinganishwa na kiwango cha miti...
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imesema kufikia sasa, imesajili wakenya 250, 391 na kufikia idada ya wakenya waliosajili kuwa 22,352,923. Kamishna wa Tume...
Idara ya hali ya hewa nchini imeonya kuwa mvua za wastani hadi mvua nyingi zinatarajiwa kunyesha katika baadhi ya maeneo ya Nairobi na kaunti jirani katika...
Huku mgomo wa wauguzi wa kaunti ya Kilifi ukiingia siku yake ya pili, na kusambaratisha utaoji wa huduma za afya, Serikali ya kaunti hiyo imejitokeza na...