Kikosi cha soka akina dada Harambee Starles imeanza vema mashindano ya ukanda wa Afrika Mashriki na kati CECAFA ambayo yanandelea mjini Dar es Salaam Tanzania. Hii...
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen ametoa taarifa kuhusu hatua ambazo zimepigwa na wizara hiyo katika kuimarisha usalama. Akizungumza katika jumba la Harambee jijini Nairobi,...
Familia ya Mwanamme aliyezama baharini katika kaunti ya Kilifi siku kadhaa zilizopita, inahimiza serikali kuongeza juhudi na kuwapa msaada wa kumtafuta jamaa wao. Ikiongozwa na Omar...
Gavana wa kaunti ya Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir amesema serikali ya kaunti ya Mombasa wametenga shilingi milioni 80 kugharamia sehemu ya matibabu ya wakaazi ambao hutibiwa...
Naibu gavana kaunti ya Kilifi Flora Mbetsa Chibule, amependekeza adhabu kali kwa watu wanaotekeleza visa vya dhulma za kijinsia katika jamii. Chibule alisema visa vya dhulma...