Waziri wa Elimu nchini Julius Migos Ogamba, alisema serikali imeanzisha mipango ya kuimarisha idara ya ukaguzi wa shule ili kuhakikisha fedha zinazotengewa taasisi za elimu zinatumika...
Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu kaunti ya Mombasa wamefanya maandamano ya amani katikati mwa jiji la Mombasa wakimtaka Naibu Inspekta jenerali wa Polisi Eliud Lagat...
Maafisa wa polisi wa kupambana na ghasia siku ya Jumanne 17, Juni 2025 walimfyatulia risasi mchuuzi mmoja aliyekuwa akiuza barakoa karibu na barabara ya Moi katikati...
Maandamano ya vijana wa Gen Z jijini Nairobi wanaoshinikiza Naibu Inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat kujiuzulu yalikumbwa na changamoto baada kundi la vijana wahuni kuingilia...
Rais wa Shirikisho la mchezo wa soka nchini Hussein Mohammed amefichua kwamba wamelipa badhi ya marupurupu kwa kikosi cha soka kwa akina dada Harambee Starlets. Hata...