Wafugaji kaunti ya Kilifi wameshauriwa kuhifadhi nyasi kwa wingi msimu huu wa mvua ili kuwawezesha kuwa na chakula cha kutosha kwa mifugo wao wakati wa ukame....
Wafanyabiashara wa kuuza mitumba katika soko la Mariakani kaunti ya Kilifi wamelalamikia kupungua kwa biashara hiyo hasa musimu huu wa Mvua. Akiongea na mwahabari wetu, Mwenyekiti...
Kiungo mshambulizi wa Harambee starlets Martha Amunyolet amesema kwamba analenga kuwa mfungaji bora kwenye Makala yam waka huu ya CECAFA nchini Tanzania Kiungo huyo wa Kilabu...
Waziri wa afya, Aden Duale, amesema serikali imeweka mikakati dhabiti kuhakikisha kila mkenya anapata huduma bora za afya kupitia mpango wa bima ya afya kwa wote...
Serikali ya kaunti ya Kilifi kupitia idara ya kilimo imeanzisha mpango wa kusambaza wa Ng’ombe wa maziwa kwa makundi ya wakulima wa mifugo kaunti hiyo. Akizungumza...