Rais William Ruto amesema kuwa atahakikisha miradi ya maendeleo aliyoahidi inakamilika kabla ya muhula wake wa kwanza kukamilika. Rais akizungumza baada ya kikao cha baraza la...
Shirikisho la kandanda Barani Afrika CAF imethibitisha kwamba mji wa Nairobi atakua mwenyeji wa fainali ya kombe hilo ambalo linaandaliwa na nchi tatu za Afrika Mashariki...
Wizara ya afya kaunti ya Kilifi imefichua kwamba maradhi ya Selimundu ni miongoni mwa maradhi ambayo yanaathiri idadi kubwa zaidi ya wakaazi kaunti hiyo. Akiongea kwa...
Bunge la kitaifa limepitisha mswada wa fedha wa mwaka wa 2025 ambao utaipa nafasi serikali ya Kenya kwanza kutekeleza majukumu yake kwa kuambatana na sheria. Bunge...
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya ugonjwa wa Selimundu maarufu Sickle cell Aenemia, ukosefu wa hamasa za kutosha miongoni mwa jamii umetajwa kuchangia ongezeko la kusambaa kwa...