Huduma ya kitaifa ya polisi NPS imewasimamisha kazi maafisa wawili wa polisi wanaohusishwa na kisa cha kupigwa risasi raia ambaye hakuwa na silaha wakati maandamano ya...
Naibu Inspekta jenerali wa Polisi Eluid Lagat, anatarajiwa kufika mbele ya Mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa maafisa wa polisi nchini IPOA kuhojiwa siku ya Alhamis Juni,...
Familia ya Boniface Mwangi Kariuki, mchuuzi mwenye umri wa miaka 22 aliyepigwa risasi kichwani na afisa wa polisi wa kupambana na ghasia katika barabara ya Moi...
Gwiji wa mchezo wa tae-kwon-do mwanadada Caroline Wairimu Kihurani ambaye aliaga dunia wiki jana jijini Nairobi anazidi kusherehekewa na wengi kutokana na mchango wake mkubwa katika...
Naibu kocha wa Shujaa Louis Kisia amemtaja winga wa kilabu ya Nakuru Rfc Chrisant Ojwang wakati wa kukitaja kikosi cha Morans kwa ajili ya mashindano ya...