Baadhi ya wavuvi kutoka eneo la old ferry kaunti ya kilifi wamegeukia biashara ya kuchoma mahindi machanga kutokana na kutoweza kuingia baharini. Wavuvi hao wamesema kuwa...
Wanawake kutoka maeneo ya Pwani wanaitaka serikali kuu na zile za kaunti kuhakikisha wanashirikishwa kikamilifu katika sekta ya uchumi wa majini ili kujiendeleza kimaisha. Wakiongozwa na...
Wadau wa sekta ya utalii wanaojihusisha na uuzaji vinyago mjini Malindi kaunti ya Kilifi wanalalamikia kusambaratika kwa biashara zao kufuatia idadi ndogo ya watalii wanaozuru eneo...
Wafanyibiashara wa kuuza maembe katika eneo la mariakani kaunti ya kiliifi wanasema kuwa msimu huu wa mvua biashara iko chini ikilinganishwa na msimu wa kiangazi. Kulingana...
Naibu Inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat aliandikisha taarifa kwa maafisa wa uchunguzi wa Mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa maafisa wa polisi nchini IPOA. Lagat, aliandikisha...