Mkurugenzi mkuu wa shirika la utetezi wa haki za ardhi nchini Kenya Land Alliance Faith Alubbe amesema wameanzisha mchakato wa kuzuru kaunti zote 6 za pwani...
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la kutetezi haki za kibinadamu la International Justice Mission, IJM, Vincent Chahale ameishutumu serikali kwa kuzembea katika kukabiliana na dhulma dhidi ya...
Kikosi cha Taifa kwa akina dada mchezo wa Pete marufu kama Divas waliweza kumaliza ya tatu na kushinda tuzo la Shaba katika mashindano ya UAE Netball...
Kanisa Katoliki nchini limeshinikiza serikali na vijana kuridhiana ili kuepuka vurugu zaidi zinazoshuhudiwa nchini. Askofu mkuu wa kanisa katoliki Athony Muheria wa Nyeri na Phillip Anyolo...
Nyota wa muziki wa Tanzania, Rajab Abdul Kahali, maarufu kama Harmonize, ameweka bayana azma yake ya kisiasa kwa kutangaza rasmi nia ya kugombea kiti cha Ubunge...