Rais William Ruto ameahidi kuwaunga mkono maafisa wa polisi katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda haki za kila mwananchi. Rais Ruto alisisitiza haja ya kulinda pia...
Kaunti ya Kilifi imetajwa kuripoti visa vingi vya wasichana na wanawake kudhulumiwa kingono. Haya ni kwa mujibu wa shirika la utetezi wa haki za kibinadamu la...
Wajane katika kaunti ya Kilifi wamehimiza kuangaziwa kwa madhila wanayopitia katika jamii ili kuwawezesha kukidhi mahitaji yao kikamilifu. Wajane hao walitoa wito kwa serikali kuwatambua badala...
Kilabu ya Manchester United kimewasilisha ofa ya pili ya pauni milioni 60 kwa kiungo mshambulizi wa Brenford Bryan Mbeumo raia wa taifa la Cameroon. Haya yanajiri...
Mkufunzi wa kilabu ya Ubuntu Fc ambaye pia ni mkufunzi wa shule ya Upili ya Majaoni Gilbert Lewa amefichua kwamba halipwi na kilabu yake na kwamba...